kwamamaza 7

Heshimu mnong’ono ulioko ndani mwako

0

Matendo ya Mitume1:8

Lakini wakati Roho Mtakatifu atakapowashukieni ninyi, mtajazwa nguvu na mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, katika nchi yote ya Yudea na Samaria, na hata miisho ya dunia.”

Roho Mtakatifu ni uwepo na nguvu za Mungu. Petro alikuwa mwoga kumkana Yesu Kristo. Baadaye, aliwashaiwshi wengi kumfuata.

Wewe tii sauti ya Roho Mtakatifu iliyoko ndani mwako. Kila anachokuambia kina uhusiano na siku za usoni zako.

Mwenzangu, nataka uniambie unachofikiri leo kupitia imeili yangu Estachenib@ yahoo.com ama ujumbe mfupi kupitia Whatsapp nambari  + 4128718098

Unaweza pia kuniambia yale madogo unayokabiliana nay oleo ili nikuombe.

Wewe ni wa thamani.

Neno la Mungu kutoka  Nibintije Evangelical Ministries

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.