kwamamaza 7

Hesabu ya askari jesi wa Rwanda itaongezeka Sudani Kusini

0

Rwanda ni miongoni mwa nchi ambazo tayari wamekwisha tangaza kuongeza hesabu ya askari jeshi katika utumwa wa amani Sudani Kusini ambapo mauaji huendelea miaka kazaa.

Msemaji wa jeshi la Rwanda Lt Col René Ngendahimana amehakikisha hayo tarehe 22 Mach 2017, kuwa Rwanda hujiandaa kuwatuma askari katika utumwa wa amani katika kundi la jeshi la United Nations Mission (UNMISS) huko Sudani Kusini.

Hayo ni baada ya kiongozi wa kundi la Umoja wa mataifa anaye husika na kuzingatia usalama, Hervé Ladsous, kutangaza kama jeshi la Rwanda, Nepal pamoja na Bangladesh sherti wafike katika nchi hio siku chache za usoni.

Lt Col René Ngendahimana eti “ni kweli kunahitajika jeshi wengine kwenda katika utumwa katika nchi hiyo, na Rwanda ni tayari kutoa msaada wake”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rwanda walikuwa na askari jeshi wapatao 1.650 wenye kuwa katika UNMISS, hao watakwenda Sudani Kusini. Katibu wa UN, aliambiya rais Kiir wa Sudani Kusini kwamba tatizo la nchi yao tatatuliwa kwa njia ya diplomasia kuliko kutumia ngufu za jeshi na mataifa.

Wakati shida ingali, kiongozi huo alisema ya kwamba askari wa wilaya karibu 4.000 wanahitajika kwa kulinda usalama wa nchi hiyo.

Swala la usalama mbovu Sudani Kusini hudumu myaka na tangu 2011 maelfu ya watu wamepoteza maisha wengine wakiwa ukimbizini.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.