kwamamaza 7

Helikopta ya jeshi la Rwanda yafanya ajali

0

Helicopta ya RDF, yaani jeshi la Rwanda imefanya ajali katika angani ya sehemu ya Masaka, wilayani Kicukiro. Ajali imefanyika asubuhi leo 27 Oktoba 2016.

Msemaji wa jeshi la Rwanda, Lt Col René Ngendahimana alithibitisha habari na kusema kwamba watu wawili walikuwa ndani ya helikopta hawakufariki isipokuwa mmoja aliyejeruhiwa.

[ad id=”72″]

Alikuwa dereva mkufunzi na mwanafunzi kwani ndege hio hutumiwa katika mafunzo ya kuongoza ndege, pia katika kazi za kulinda usalama.

Msemaji wa RDF alisema kwamba sababu ya ajali haijajulikana bado.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.