kwamamaza 7

Hazarani Al Shabaab wamewaua wapelelezi 3 wa Marekani

0

Tarehe 26 Januari 2017, chama cha wanamgambo wa dini ya Islam wanaopiganisha serikali ya Somalia, wamewaua watu tatu wa ngazi za upelelezi wa Marekani (CIA).

Waliuawa wakiwa Kusini-Mangharibi mwa Somalia hazarani wakiwa mbele ya watu wengi wa Somalia mjini Yaq-Barawe.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Walio uawa ni Abdullahi Damey Mohamed Nur mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa akifanya upelelezi wa Marekani nchini Somalia, alikua akipokea dola 200 kila mwezi, yeye alikua akihusika na ndege za Marekani ambazo hazina dereva (Drones) kama huhakikisha mwendesha mashtaka wa Al Shabab.

Wengine ni Mohamed Iman Hassan mwenye umri wa miaka 42 alikua akipokea dola 150, wa tatu ni Mohamed Sharif wa miaka 21, alikua akikusanya habari za Al Shabab na kuwaambia wamarekani.

Kuwaua wapelelezi imekua tabia ya Al Shabab inayo husiano na Al Qaeda, wawaua wakisema ni wapelelezi wa Marekani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.