kwamamaza 7

Hatutaki kuishi barabarani,tunahitaji kuenda shuleni-Watoto wa mitaani

0

Watoto wa mitaani wametangaza kwamba wamechoka kuishi maisha ya barabarani na kupendekeza kwamba wanahitaji kuenda shuleni.

Watoto wa mitaani wa mjini Kigali

Wakizungumza na flash Tv mjini Kigali,mmoja mwa watoto hawa amesema kuwa anasikitishwa na hali ya maisha yake ya kuishi barabarani na kuwa anaheshimu alilosema Rais Kagame kwamba hahitaji kuona watoto mitaani.

Mmoja wao akieleza hali ya maisha yao

Tunaishi kwa kuiba,kula vyakula kutoka taka,tukikamatwa hukatwa mguu au mkono”ameleza.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwenzake,asili ya kusini mwa nchi amesisitiza kuwa makazi yao ni mifereji na shimoni na kuwa hawana budi kunywa madawa ya kulevya ili kupata usingizi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Watoto hawa wa mitaani wamependekaza serikali kuwasaidia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,Wizara ya usawa na maendeleo ya kifamilia(MIGEPROF) mwezi wa juni ilitangaza kuwa tatizo la watoto wa mitaani litatolewa suluhisho wakati wa wiki mbili, hadi leo haija fanya lolote husika.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Watoto wa mitaani huongezeka kila siku hasa mjini Kigali,chanzo cha tatizo hili ni kama vile migogoro ya familia,ufukara na mengine.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.