Swahili
Home » Hatukuwa na nguvu baada ya uchaguzi-Dkt.Frank Habineza
HABARI MPYA SIASA

Hatukuwa na nguvu baada ya uchaguzi-Dkt.Frank Habineza

Kiongozi wa chama cha Democratic Green Party,Dkt.Frank Habineza ameweka wazi kuwa alipoteza nguvu baada ya kufeli uchaguzi wa rais na kuwa kisha aliamua kuongeza nguvu.

Kiongozi huyu ameleza kuwa kufeli uchaguzi wa rais haikuwa jambo jema na kuwa wanachama walimuhamasisha kuendelea na mambo ya siasa ya kutopambana na serikali ila kukosoa serikali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Dkt.Habineza amesema kuwa alishangazwa na matokeo ya uchaguzi kwa kuwa alikuwa anatarajia kupata kura 70% kisha akapata kura zisizo juu ya tano.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com