kwamamaza 7

Hatukujua mashambulizi kwa wakimbizi asili ya Rwanda-Polisi ya Uganda

0

Polisi ya Uganda imeweka wazi kutojua lolote kuhusu mashambulizi kwa wakimbizi asili ya Rwanda waliokimbia kutekwa nyara eneo la Ntinda, mjini Kampala.

Mmoja mwa wakimbizi aliependekeza jina lake kutojulikana ameleza kuwa walishambuliwa walipokuwa wanajianda vilivyo kujulisha suala la kutekwa nyara bungeni.

Polisi ya Uganda kupitia msemaji wake,Emiliyani Kayima amekanusha taarifa hizi.

Emiliyani Kayima amesema”’hapana”.

Kisha ameleza kuwa hawa hawakuweza kufika bungeni kwa kuwa waziri wa usalama wa ndani Luteni Jenereli Henry Tumukunde hakuwepo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa mjibu wa Chimpreports,Kayima amesema kuwa wakimbizi watakuja mahakamani wakati ambapo waziri atakaporudi leo tarehe mosi Disemba 2017.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,wakimbizi nchi Uganda wanaishi kwa wasiwasi nyingi za kutekwa nyara na kurudishwa kwao muda wowote.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook n

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.