kwamamaza 7

Hatukuhitaji M23 hapa na hatukuwatani Uganda – Waziri Oryem

0

Waliokua wapiganaji wa M23 nchini Congo wanaoishi katika kambi nchi Uganda kabla ya kunyanganywa silaha, kwa sasa hawana ukaribisho kati nchi hio tena si tatizo la Uganda kama vile waziri wa Usalama alitangazia gazeti la Reuters juma inne.

Waziri wa usalama nchini Uganda, Okello Oryem amesema kwamba hakujua habari hio ya kuwa wapiganaji hao wamekosekana katika kambi wanaoishi baada ya kutangaza kuwa wamoja wao wamevuka mpaka na kuingia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kwa kumalizia akasema kwamba hajali na hayo.

okello-oryem

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Waziri Oryem eti “hakuwai kuwahitaji hapa, hatukuwaalika hapa na hatuwatamani katika Uganda “.

Kwa kumaliza aliendelea na kusema kwamba tatizo la M23 hutazama serikali ya Congo na umoja wa mataifa apana serikali ya Uganda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.