Home HABARI MPYA Hata kama Rwanda ina rais mwema hakuna asiyeweza badilika – Me Kevin Gatete
HABARI MPYA - March 7, 2017

Hata kama Rwanda ina rais mwema hakuna asiyeweza badilika – Me Kevin Gatete

Me Thierry Kevin Gatete anasema ya kuwa tendo la kubadilisha na kukosoa katiba ili rais Kagame aweze kuwania mhula mwengine yaweza leta tatizo Rwanda.

Eti “hata kama najua vizuri ya kuwa Wanyarwanda wengi wanamuhitaji, mimi ndani mwangu situlie kwa kugeuza katiba kuwa ya mtu”, huo ni Me Thierry Kevin Gatete katika maongezi na gazeti la Jeune Afrique.

Julai 2015, Me Kevin Gatete alihusika na kuwasaidia watu kisheria na akiwa kongwe katika mambo ya haki za binadamu, alifika mbele ya mahakama makuu katika swala la chama Democratic Green Party of Rwanda akiwasaidia kisheria na akiomba kutogusa katiba ya Rwanda wakati ilitarajiwa kuchunguzwa tena.

Chama hiki hakikuhitaji uchunguzi na ubadilishaji wa katiba ya Rwanda ili rais Kagame aruhusiwe kuwania mhula mwingine na kupata kuongoza katika uchaguzi utakao fanyika tarehe 4 Agasti 2017.

Me Gatete aliambia Jeune Afrique ya kuwa kubadilisha katiba inafafanua kuleta shida siku za usoni eti: “hata kama Rwanda yupo na rais mwema hakuna asiye weza badilishwa”.

Me Kevin Gatete kwa kumalizia alisema ya kuwa katika historia kusiwe yule atakayesema ya kuwa hakuna sauti ambayo haikuhitaji kubadilishwa kwa katiba.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.