kwamamaza 7

Hakutakuwa vikwazo vya kiuchumi barani Afrika muongo ujao-Rais Kagame

0

Rais wa Rwanda,Paul Kagame kwenye kikao cha Global Business mjini Dubai ametangaza kuwa hakutakuwa vikwazo vya kiuchumi  miaka mitano ama kumi barani mwa Afrika.

Rais Kagame ameleza kuwa hili litawezekana kulingana na mikakati mbalimbali iliyochukuliwa na miungano ya nchi za Afrika ili kutimiza mambo ya uhuru wa kiuchumi.

Nafikiri kuwa tutaona maendeleo mengine miaka kumi ijayo na inawezekana unapoangalia namna ambavyo uhuru wa kiuchumi ulioko kwenye maeneo kama Afrika mashariki,ECOWAS(…)”amesema Rais Kagame.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rais Kagame ameongeza kwamba Wanafrika wanafanya biashara yao bila vikwazo kwa kuwa ushirikiano wa kiuchumi unafika kiwango cha 15% na kuwa kunahitajika mpango murua wa kuwasilisha ufundi na taarifa ili kupambana na vikwazo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwenye mkutano huu,marais wametia saini maktaba wa kiuchumi kwa jina ‘Continental Free Agreement’ unaolenga kutilia mkazo uhuru wa kiuchumi mwa Afrika.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.