kwamamaza 7

Hakuna muuguzi anayekubaliwa kutumiya simu wakati wa kazi

0

Wizara ya afya imesema ya kuwa maamzi ya kuwakakaza wauguzi kutumia simu wakati wa kazi tayari kwa siku chache huenda tiwa katika matendo.

Ni mara nyingi wakaaji wakilalamika kuhusu huduma wanazo pewa katika vituo vya afya ukiwakuta mara nyingi wauguzi wakiwa kwenye simu wengine wakiwa kwenye mitandao na matukio mabaya ni kwa wagonjwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tarehe 9 Februari 2017 ndipo wizara ya Afya Rwanda imesema ya kuwa hakuna muuguzi anayekubaliwa kutumiya simu wakati wa kazi. Maamzi hayo yataanza tarehe 1 Mechi 2017 kama vile hupatikana katika ukarasa  Twitter wa wizara ya Afya

Ni mara nyingi ilisemwa ya kuwa katika vyuo vya serikali vinavyo toa huduma za afya kutokuwa na matukio mema kwa sababu wengi hushinda kwenye mitandao wakati wa kazi wengine wakitumia simu za mkononi.

Sherti hayo yatimizwe kwa ajili ya kutoa huduma njema katika vyuo vya afya na mahali pengine panapo husiana na afya, na ndio sababu wizara kaamua kutotumia simu kwa wauguzi wakati wa masaa ya kazi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.