Mbunge na mwenyekiti wa chama cha PSR,Mhe. Jean Baptiste Rucibigango

Mbunge Jean Baptiste Rucibigango ametangaza kuwa haifai kujigamba  kwa yaliyotimizwa wakati wa kuikomboa nchi kwa manufaa ya jamii kwa ujumla.

Mbunge huyu ameleza kuwa waliyoyafanya ilikuwa kutimiza wajibu wao na kwa hiyo haistahili kujilinga.

Sisi ni watu wa kawaida,tuliyoyafanya wengine wanaweza kuyatimiza kwa hiyo haifai kujigamba kwa kuwa ilikuwa wajibu wetu”ameleza mbunge Rucibigango.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Rucibigango ameongeza kuwa lengo la kwanza la vita ilikuwa kukomesha itikadi ya ukabila iliyosambazwa na wakoloni kupitia dini.

Mbunge Jean Baptiste Rucibigango ni mwenyekiti wa chama cha ujamaa cha wafanyakazi nchini  Rwanda,PSR.Alikuwa mtangazaji wa rediyo Muhabura wakati wa vita vya kuikomboa Rwanda mnamo mwaka 1990-1994.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.