kwamamaza 7

Gitega: Mtu ameuawa kwa magogo na watu ambao hawajajulikana

0

Mtu ambaye hujulikana kwa jina la Ciza Simon ameuawa na magogo sehemu ya Mushasha katika ya Gitega nchi Burundi na watu ambao hawakujulikana.

Kama vile taarifa husema ya kwamba mauaji haya yalifanyika kwenye msitu wa mlima Masenga, UBMNews huendelea na kusema kwamba Ciza ameuaa akitoka kwao nafasi ya kuzaliwa huko Rutoka.

Marie Rose Nzeyimana, kiongozi wa Mushasha, hata raia wa sehemu hiyo wahakikisha na kusema kwamba marehemu hakua na shida lolote na majirani.

Wale ambao wanahusika na usalama husema kwamba upelelezi waendelea ili kujua waliohusika na mauaji na kufikishwa mahakamani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.