kwamamaza 7

Gishari: Askari polisi wa kike wanaombwa kuwa mfano bora katika huduma zao

0

Waziri Johnston Busingye anaomba askari polisi wa jinsia ya kike kuwa mfano bora katika huduma zao ili Wanyarwanda na mataifa waweze kuwaamini. Hayo yalisemwa wakiwa Gishari, wilaya ya Rwamagana wakati alianzisha kituo cha 8 cha askari polisi wa kike kwa ajili ya kuhamasisha huduma yao.

Kikao hicho hua kila mwaka na askari polisi wa kike wapatao 800 ndio wameshiriki, kwa pamoja watazama majukumu yao na kujenga polisi kamili na kuchunguza usawanisaji jinsi ulivyo.

Wamoja katika askari polisi wa kike wanasema ya kuwa wanasaidiana na kaka zao ili usawanisaji usonge mbele, IP Harima Nyirampuhwe, askari polisi kutoka Rulindo eti “ili usawanisaji uwe ni sherti kufanya kazi bora na bidii na kutii sheria za kazi tunazo pewa na viongozi wetu wa polisi na kusaidiana na kaka zetu”.

Kamishina mkuu wa polisi, IGP Emmanuel Gasana, asema huduma ya polisi kwa wanawake si rahisi kwa ajili ya miumbile ya kazi na majukumu ya kujali jamii zao, na hayo yote wanafanya uajibu wao vema Rwanda hata katika utumwa wa amani wa kimataifa.

Hivi sasa Rwanda ina askari polisi wapatao moja kwa raia 1000, Wanawake wakiwa 21%.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.