Swahili
HABARI

Gisagara:Wakazi watarajia kupata soko la kisasa mwaka 2018

Diwani makamu wa wilaya ya Gisagara,Hanganimana

Wakazi wa tarafa ya Gikonko watarajia kupata soko la kisasa mnamo mwaka 2018.Ni baada yao kusubiri miaka nenda rudi wakishi katika hali ya uhaba wa soko la kuuza bidhaa zao mbalimbali.

Diwani makamu wa wilaya ya Gisagara,Jean Paul Hanganimana

Diwani makamu wa wilaya ya Gisagara kwa wajibu wa maendeleo na mali, Jean Paul Hanganimana ameleza kwamba wilaya imeisha tayarisha bajeti ya kugenga soko mpya la Kiri ambalo litakuwa katikati mwa tarafa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Soko hili litawasaidia tarafa nyingine zikiwemo Rusatira(Huye) na Ntyazo(Nyanza).

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com