kwamamaza 7

Gisagara:Ulevi baadhi ya chanzo cha suala la utapiamlo kwa watoto

0

Viongozi wa wilaya ya Gisagara,kusini mwa nchi wameweka wazi chanzo cha utapiamlo kwa watoto ambacho ni ulevi wa wazazi na waschana kuzaa bila ya ndoa.

Diwani wa Gisagara,Jerome Rutaburingoga ametangazia vyombo vya habari kuwa ulevi huu husababisha wazazi kutolea vizuri watoto wao vilivyo,jambo linalosababisha utapiamlo na kuwalaumu wazazi kutotimiza wajibu wao.

 Mmoja mwa viongozi wa kijiji, Odette Niyikiza ameleza kuwa mala nyingine suala hili husababishwa na kula chakula cha aina moja kutokana na kuwa kuna uhaba wa viazi na mihogo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Diwani Jerome amesema kuwa kulianzishwa mikakati mbalimbali ya kupambana na jambo hili ikiwemo kutoa maziwa kwa watoto maelfu tisa.

Pia,viongozi wa wilaya ya Gisagara kutangaza mwaka jana kuwa watoto karibu 500 wana utapiamlo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hatimaye, mwaka jana takwimu zilionyesha kuwa 38% za watoto nchini kote wana suala la utapiamlo,jambo lililoifanya serikali ya Rwanda kuanzisha mikakati ya kupungua idadi hii kufika 17% mwaka 2018.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.