kwamamaza 7

Gicumbi:Wawili watiwa karantini ya kazi baada ya ujambazi uliotokea

0

Kundi la watu sita wakiwemo mwanamke mmoja ambao ni wakazi wa kijiji cha Remera,tarafa ya Manyagiro wametangaza kuwa kundi la wafanyabiashara liliwawazuia kufanya kazi yoyote baada ya ujambazi wa t3.5 za mtama kuibiwa kijijini.

Mfanyabiashara,Jean Pierre na Aboubacar

Mmoja wao Aboubacar , 26 ameleza kwamba walikataliwa kuendelea kufanya kazi zao za kubeba mizigo hata kama mahakama iliamua kutokua na hatia kwa kundi hili.Kiongozi wa kundi  la wafanyabiashara,Pierre Celestin Havugimana amesema kuwa huu ni uwamuzi wa wafanyabiashara na viongozi wa ndani na kuwa atakayepatia kazi kundi hili atatoa faini ya frw 50,000.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katibu mtendaji wa tarafa ya Manyagiro,Dieudonne Kamuhire ametangaza kutojua habari hizi na kuwa zitafanyiwa ufuatiliaji juma tatu ya wiki ijao.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.