kwamamaza 7

Gicumbi:Kiongozi wa kijiji auawa

0

Kiongozi wa kijiji cha Gashiru,tarafa ya Kaniga,Katurebe Gaspard,46 ameuawa usiku uliopita baada ya kuja kumunusuru mzee mmoja aliyekuwa akipiga mayowe kwamba amevamiwa na majambazi wawili wa asali zake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Tukio hili lasisitizwa na katibu mtendaji wa tarafa ya Kaniga,JMV Bangirana alipongea na Bwiza.com kupitia simu kwamba malehemu alikuwa akiuliza majambazi mapana na marefu kuhusu tukio hili kisha kijana kwa jina la Thacien Hagenimana,21 akampiga fimbo kichwani akafariki.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Majambazi hawa na Kijana muuaji  wamefungwa kwenye kituoa cha polisi cha Mulindi.

Habari hii itaboreshwa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.