kwamamaza 7

Gicumbi: Watoto hutembea km 8 wakienda shule

0

Watoto wanao maliza shule la msingi la miaka 9, Nine Years Basic Education katika kiini cha Kibali, tarafa Byumba, wanapo endelea na kusoma miaka 12, Twelve Years wanalazimishwa kufanya safari ndefu kwenda shule wakifanya km 4, wanasema kwamba wanasumbuliwa sana.

Mara nyingi sehemu hio huwa na mvua nyingi, wakati mwengine wanachelewa shule, hata wakifika wanasoma vibaya kwa sababu ya uchovu mwingi na joto, wanatoka kwao na kufuata shule la Nyange mahali kuna shule la miaka 12.

Hitaji la watoto ni kuwa waweze pata shule ambalo hujaza miaka 12, Twelve Years Basic Education kwao kwenye shule la Kibali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Jean Damascene Nsengimana anayehusika na Elimu katika wilaya ya Gicumbi alisema kuwa wapo na mipangilio ili kusiwe mtoto wa kufasiri kilometa 4 akienda shule.

Katika wilaya ya Gicumbi wanahamasisha ili waweze kuwarudisha watoto wapato 4775 walio acha shule kwa sababu ya kutoelewa kwa wazazi wao, umasikini, tabia mbovu za watoto na mengine, ila safari ndefu haiwasukumi kuacha shule.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.