kwamamaza 7

Gicumbi: Wamekamata gari ikiwa na dawa za kulevya aina tofauti

0

Tarehe 15 Mach 2017 katika wilaya ya Gicubi walikamata gari ikiwa na dawa za kulevya aina tofauti hata pombe haramu isiyokubaliwa Rwanda.

Msemaji wa polisi ya Rwanda jimbo la Kaskazini Inspector of Police (IP) Innocent Gasasira, alisema gari hio ya aina ya toyota carina yenye namba RAB 150B, ilikuwa na bokse elfu tatu za pombe haramu (kanyanga), bokse 3.480 za chief warage, 480 za kick warage, na bokse 240 za Real Gin. Gari hilo lilikuwa katika kiini ya Rwankonjo, tarafa ya Cyumba wilaya ya Gicumbi.

IP Gasasira eti:” mara kwa mara tunafanya mambo tofauti pakiwemo kusaka sehemu tofauti na mara nyingine kufunga barabara ili kupiganisha makosa na kuwakamata wakosefu ao dawa za kulevya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mambo hayo yote huraisishwa wakati tumepewa taarifa na raia, hizo dawa za kulevya tulizokamata ilikuwa taarifa kutoka kwa raia na ikarahisisha kitendo hicho.

Hata kama kiongozi wa gari alikimbia, IP Gasana alisema ya kuwa wamejua mwenyeji wa dawa hizo za kulevya na mwenyeji wa gari.

Eti:”tupo natumika pamoja na wasaidizi wetu wa wilaya ya Gicumbi kwa kuchunga usalama ili mahali pote alipo akamatwe na kufikishwa mahakamani”.

IP Gasasira aliendelea na kusema ya kuwa siku hizi waliendelea na kufundisha kwa ajili ya kupiganisha na kuzuia dawa za kulevya katika wilaya ya Burera na Gichumbi.

Kuna raia wa tarafa hizo waliofanya makundi ya kupiganisha pombe haramu kwa kuwasiliana na polisi kwa ajili ya kuongoa mabaya hayo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.