Polisi ya Rwanda katika wilaya ya Gicumbi inaendelea na kusaidiana na viongozi wa wilaya kutoa uito kwa raia ili wasifanye biashara ya dawa za kulevya, kutumia ao kuingiza ndani ya nchi.

Mafundisho kuhusu dawa za kulevya hupewa vijana pakiwemo wanashule, wendesha magari na waakaji kwa ujumla katika viini.

Pamoja na uhusiano mwema na polisi, wameanza kufundisha makundi katika wilaya hio kutoshiriki usafirisaji wa dawa za kulevya.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Mwanzo walio fundishwa ni watu 68 wa kata zifuatazo: Manyagiro, Rubaya, Nyankenke, Cyumba, Rushaki, Kaniga na Mukarange, tarehe 17 na 18 Januari mwaka huu, na kutafuata kata zingine zinazo baki.

Kiongozi wa polisi wilaya ya  Gicumbi, Chief Superintendent of Police (CSP) Dan Ndayambaje alisema aina ya dawa za kulevya ambazo huonekana katika wilaya hio, njia ambazo hutumia, mbinu ambazo hutumia na namana gani wanafahamu mambo hayo yote na kuwakamata.

Mmoja wa viongozi wa wilaya ya Gicumbi, Benihirwe Charlotte eti,” wanaoingiza katika vitendo vya dawa za kulevya wanaovuruga usalama wa wakaaji. Mulichagua vema kuyafanya makundi ya kupinga dawa za kulevya, tutakuwa karibu nanyi siku zote tukiwasaidia ili mufikiye lengo lenu”.

Aliwaomba wakaaji wa wilaya hio kujilinda dawa za kulevya na kutoa taarifa mapema kwa ngazi zinazohusika ili wahusika wakamatwe.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.