kwamamaza 7

Gerezani wanatongoza na kufanya mapenzi kwa hali ya juu

0

Ushuhuda wa watu ambao walitoka hata wenye wangali gerezani husema kuwa mambo ya ndani ni kama mabo ya nje kwa sababu wanafanya maongezi, udanganyifu, biashara, kuwa na wafanya kazi, hata vitendo vya ngono. Wanakuwa na nostalgia sana, wanajua jinsi ya kutatua shida zao: wakati wanatoka nje kwenda kazini, kuwaona wauguzi, hata kwenye simu kwa wale wenye uwezo, ila inaomba ujuzi na elimu ya hali ya juu kwani ni vigumu kuyakubali kabla haujayaishi.

Hata kama wewe upo gerezani mafikiri na mawazo yapo tayari kwa kila kitu, mwili nimzima. Husemwa mara nyingi ya kuwa wafungwa ambao hufanya kazi za mikono nje ya gereza huwa wanakutana na wapenzi wao, yawezekana hufanywa kupitia nzia ndefu, bila tatizo wanafanya mapenzi wakiwa vikani, chini ya mti, shambani, wengine huenda ndani ya misarani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Gerezani wanatongoza kweli, huu ni ushuhuda wa mume ambaye amefanya miaka tanu akitoka gerezani, amesema kuwa wafungwa hupendana na kufanya jinsia, unamwandikiya yule ambaye umempenda na unatiya barua sehemu anayozoea, na wakati ujumbe humufikia kweli anajibu, na wakati ujumbe haumufikiye ukilokotwa wanatiya kwenye matangazo kama ujumbe utokao mbali sana na mwenyeji anapata ujumbe wake”.

Unaweza kujiswali namna ya kukutana mara ya kwanza, hukutania katika shirika la maombi, wakati wapo kanisani wake na waume hutengana, kila wamoja kuketi ngambo yao, na wakati ibada kumalizika wanakumbatiyana na kumaliza hamu ya miili yao, hata walinzi wa gereza wakijaribu kuwapiga fimbo hawatasikiya maumivu kwa kuwa wameingi katika ulimwengu mwingine.

Aneyepata jinsi ya simu ya mkononi yeye hutongoza hata wanawake wa nje ya gereza, mmoja ambaye alifungwa akishutumiwa kuwabaka watoto, alipata simu akajaribu kutongoza mke wa nje akamudanganya kuwa anafungwa kipesa, na akamwambiya kuwa amefungwa na akiwa na motogari, pikipiki 3 na nyumba 2 na hayo yoye humupa pesa, ila anakosa kitu kimoja na hicho ni ubora wa mwanamke mwema. Kwa simu mwanamke alijaribu kufariji na mwisho alikuja kumutembelea na mwisho wakafanya ngono.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mwengine aliye fungiwa katika nchi jirani, husema kuwa alipokelewa vizuri na muuguzi alipoumwa na muuguzi akajaribu kumufariji. Eti “alikuwa akininunuliya malofu, jina langu lilikua lina fasi kubwa, nilikuwa nikikamata muda murefu nikijadiliana naye hata kimapenzi, na kwa mwisho nilikuwa nikipewa siku ya kurudi kumuona muuguzi tena”. Aliendelea na kusema kuwa kuna siku ambao mlinzi wa gereza alisahau ya kuwa amemsahau mfungwa mwengine, na alipo kuja mlinzi akamwambia kuwa mjinga, na mfungwa akamwambia kuwa ndiye mjinga kwa sababu alisahau majukumu yake, hapo alikua akiwakuta njiani wakijiandaa kupaa motogari.

Watu wengi ambao walifika gerezani wanasema kuwa maisha ya gerezani ni kama maisha ya nje ya gereza, ila utofauti na mahali padogo na kufanya yale mtu apendayo. Bwiza.com ingali kwenye utafiti wa maisha hayo na kwa siku chache itawaeleza jinsi wachawi (waganga wa kyenyeji) hufanya, udanganyifu na ufanyaji wa biashara.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.