Swahili
Home » George Weah akula kiapo kuiongoza Liberia
HABARI

George Weah akula kiapo kuiongoza Liberia

Rais mteule wa Liberia George Oppong Ousman Weah ambaye pia amewahi kuwa mchezaji bora wa soka wa dunia, amekula kiapo leo kuiongoza Liberia.

Weah ambaye alishinda kiti hicho mwezi uliopita atakuwa Rais wa 25 wa Liberia akichukua mikoba ya Rais Ellen Johnson Sirleaf ambaye amekalia kiti hicho kwa miaka 12.

Tukio hilo ambalo limekuwa likisubiliwa  kwa hamu kubwa na wananchi wa Liberia pamoja na wadau wa soka duniani, limefanyika katika uwanja wa mpira wa Samuel Kanyon Doe majira ya saa sita mchana kwa saa za Afrika Mashariki.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hii ni historia fupi ya George Weah.

Raisi Mteule wa Liberia

Senator: wa bunge la Liberia 2015

African Footballer of the (1989, 94, 95)

UEFA Champions League Top Scorer: 1994 – 15

1995 Ballon d’Or winner, FIFA World Player of the Year: 1995

1996 FIFA Fair Play Award

IFFHS African Player of the Century: 1996

Taarifa za BBC zinasema kwamba Rais Weah atakabiliana na changamoto kadhalika kama vile njaa na mengine.

Bonyeza BWIZA TV kupata habari  na nyimbo mpya

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com