kwamamaza 7

Gen Kamanzi anayeongoza kikosi cha 34 cha Jeshi la Congo amewaonyesha wapiganaji wa M23 waliokamatwa

0

Kiongozi wa kikosi hicho cha 34, cha jeshi la Congo FARDC, Gen. Francois Kamanzi, juma tano alimuonyesha Gavana wa Jimbo la Kivu ya Kasikazinikuri wapiganaji wawili ambaye yeye alisema kuwa M23. Na hawo ni Major Zimurinda James na Adjudant-chef Desire Karangwa, walikamatwa wakipakiza silaha katika mifuka ya viazi.

Gen. Kamanzi alisema kuwa watu hao walikua na shabaa ya kujiunga na wapiganaji wa Sultani Makenga. Na Gavana ameshukuru jeshi la Congo, na kuomba wakaaji kuwa makini kwa yote bila kusinzia.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Gavana Paluku amesema tena kuwa kundi ambalo liliongozwa na Makenga, Mboleza na wengine waliokua katika kambi la Bihang Uganda na walioishi mji wa Kampala katika manyumba mazuri wote wameshuka kuelekea mpaka.

Kundi yenye iko Congo ilikuwa ikitafuta mbinu kwenda kujiunga na wanaoishi Bunagana, na wengine kuanzia katika mji wa Goma ili iwe mchafuko kama vile husema radio Okapi.

Hata kama uongozi wa Jeshi na uongozo wa Jimbo la Kivu ya Kasikazini husema kuwa wapiganaji wa M23 wameingia Congo, MONUSCO wamekana uwepo wa wapiganaji wa M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.