kwamamaza 7

Gatsibo:Wanafunzi wahamasishwa kutia pamba masikioni kwa wazazi wenye itikadi ya mauaji ya kimbali

0

Wanafunzi wa shule la sekondari ESIM,tarafa ya Kiramuruzi tarehe 23 Agosti 2017 wamehamasishwa kupiga marufuku fikra za wazazi zenye itikadi ya mauaji ya kimbali.

Mkurugenzi wa ESIM, Celestin Habiyambere akiwahotubia wanafunzi

Ombi  la mkurugenzi ,Celestin Habiyambere ni kwamba watoto hawana budi kuheshimu wazazi wao lakini mzazi mwenye fikra za itikadi ya mauaji ya kimbali hastahili heshima yoyote.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,mratibu wa Tume la kupambana ka mauaji ya kimbali(CNLG) katika wilaya ya Gatsibo,Niwemutoni Laetitia amelezea vijana hawa maana yake mauaji ya kimbali,tabia ya mauaji ya kimbali mwaka 1994 dhidi ya Tutsi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ni mahojiano yaliyokuwemo wanafunzi 176 na walimu 10

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.