kwamamaza 7

Gatsibo:Mtoto amenyimwa shule kwa sababu alizaliwa akiwa na kichwa kikubwa

0

Ndahayo Jean d’Amour , ni mwenyeji wa wilaya ya Gatsibo, tarafa ya Rugarama, kiini cha Gihuta, alinyimwa bahati ya kuendelea masomo kwa sabau yupo na kichwa kikubwa, mara nyingi alikuwa akifika shuleni akivuya damu kwa sababu alianguka hususani uzito wa kichwa chake.

Mtoto huo husema ya kwamba kutazama juu, chini ao upande mwengine unamubidi kusimama kwanza na ndipo anaona nafasi anataka kuelekeza, eti “ namna ninavyo komaa ndivyo na kichwa changu kinakomaa, nimeshindwa kusoma kwenda shule kwa sababu ya kupanda milima na kuanguka chini na hakuna jinsi ya kujikinga kuanguka”, kama vile izuba rirashe wameandika.

Mukamana Angelique, mama mzazi wa mtoto huu anasema ya kwamba alizaliwa kichwa chake kikitengamana, bila mfupa, na kila jinsi anakomaa na kichwa hivyo, alikwenda kwa waganga ila wakamwambia matibabu anaweza kuyapata Afrika Kusini na hakuwa na uwezo wowote na mara nyingi akianguka anaanza kichwa chini.

Mzazi huendelea na kusema kwamba akipata msaada anaweza kutafuta matibabu ya mtoto wake kwa anahuzuni kubwa kwa ajili ya hayo wakati wanamuita majina tofauti, na kwa kuwa alipoteza bahati ya kwenda shule ikitokana na jinsi alivyo zaliwa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Umuraza, ni mwalimu aliye fundisha mtoto huo anashuhudia kwamba yupo na akili ila miumbile yake ikamukosesha kuendelea shule.

Urujeni Consolée, kiongozi wa tarafa ya Rugarama ameshauri mama huo kuendea uongozi wa tarafa ili kuona kama mtoto huyo anaweza pata msaada.

Waalimu waliofundisha mtoto huyo katika shule la kitalu wanashuhudia kuwa ni mjuzi na mwenye elimu, wakiona anarudi shule ni kitendo muhimu kwa jamii ya Wanyarwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.