kwamamaza 7

Gatsibo: Viongozi watatu wa kata wajiuzulu mfululizo

0

Mufululizo wa kujiuzulu kwa  viongozi wa kata katika wilaya ya Gatsibo mkoani Mashariki unaendelea. kama uzoefu wao kusema kwamba wajiuzulu kibinafsi unaendelea na wizara ya utawala husema kwamba kujiuzulu kwa wale viongozi wa Kata hautii hofu.

Taarifa kutoka wilaya ya Gatsibo husema kwamba viongozi wa kata za Rwimbogo, Nyagahanga pamoja na Gatsibo wameisha jiuzulu kwa sababu binafsi bila tatizo lolote na yawezekana wengine nao wataacha kazi.

[ad id=”72″]

Wale walioacha kazi ni Joseph Munyaburanga wa kata ya Rwimbogo, Nyakana Oswald wa kata ya Gatsibo pamoja na Nkurunziza Peter aliyeongoza kata ya Nyagahanga. inasemekana kwamba na wengine wanakaribia kama vile husemwa na raia.

Katibu wa serikari katika wizara ya utawala, Vincent Munyeshyaka alisema kwamba wanaenda kuchunguza kama hakuna shida ambayo huwasukuma viongozi hawa kuacha kazi ama hakuna makosa mengine ambayo hufanya na kuogopa kuendelea kazini.

[ad id=”72″]

Mpaka sasa viongozi wa kata wapatao 43 wameacha kazi za uongozi na wote husemwa kwamba wameacha kazi kwa niaba yao wenyewe.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.