kwamamaza 7

Gatsata: Wachimba vyuma vya kuchoka kama wachimbaji wa zahabu

0

Katika tarafa ya Gatsata, wilaya ya Gasabo, mjini Kigali, vijana wamegundua sehemu ya vyuma vya kuzeheka mabavyo wanasema ni mali, kwa bidii wanachimbua kama wenye kutafuta zahabu.

Sehemu hio inajulikana kama nafasi kulikuwa nyumba za biashara ya vyuma vipya au vya kuchoka, hata katika bustani wanachimbua nafasi yote kama watu wenye kutafuta mali ya asilia kama zahabu na Coltan, wanao husika ni kama wanaume wakuu, vijana na watoto wote wakitafuta vyuma vya kuzeheka.

gatsata

Raia wa mahali wanahakikisha kuwa ni mali ambayo wamegundua ya moto moto, wakisema hata kama vimeoza, viko na kutu ama matope hayo hayazulu kwa sababu wanajua jinsi ya kujadiliana na wafanya biashara.

Isipo kuwa ulinzi wa Mwenyezi Mungu, mahali hapo pa uchimbaji huwezekana kutoka magonjwa tofauti kwa sababu hawana ulinzi wowote, kupitia mikono, mapua kwa sababu kuna hewa mbaya, hata wanajivilingita katika matope na maji machafu wakiwa na lengo la kutafuta vyuma, wakisema tetanosi na kansa ni magonjwa ya matajiri.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Uchimbaji huo hufanyika katika wilaya ya Gatsata karibu meta 150 ukitoka kwenye kituo cha gari cha Nyabugogo, hufanyika katika manyumba yaliyo bomolewa. Mahali hapo huonekana kama nafasi ya uchimbaji wa mawe ya asiliya.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.