kwamamaza 7

Gasabo :Mtu alikuwa akihusika na kutengeneza pombe kupitia mbolea

0

Mkaaji wa kijiji Taba ajulikananye kwa jina la Niyitegeka James mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa akiwa na pombe haramu ijulikanayo kwa jina la Muriture lita 1200, huitengeneza kupitia mbolea, sukari, maji moto, unga ya mtama na kazalika, na pombe hukamatwa kama dawa ya kulevya.

Kiongozi wa polisi ya Rwanda mjini Kigali, Assistant Commissioner of Police (ACP) Rogers Rutikanga, aliomba raia kuwa wanatoa taarifa ya watu kama hao wanaohusika na mambo mabovu ya uharibifu kama huyu aliye kamatwa akitengeneza pombe haramu isiyo kubaliwa.

Kiongozi wa wilaya ya Gasabo makamu anaye husika na maisha bora ya wakaaji bi Nyirabahire Languida alirudilia mambo ya pombe hiyo isiyokubaliwa eti “inazua mabishano ya jamii, watoto hupatwa na shida tofauti pakiwemo kuacha shule, chakula mbaya na mengine”. Aliomba raia kutoa taarifa mapema ili kupiganisha na kuzuia.

Niyitegeka James,  alisema ni mara ya tatu akikamatwa akifanya pombe hio eti “mara ya kwanza na mara ya pili nilisamehewa, hivi naomba masamaha ili niache kutengeneza milele na nikiomba wengine wanaotengeza pombe kama hio kuacha na tutafute mengine ya kufanya yanayo kubaliwa na sheria”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Msemaji wa Polisi ya Rwanda Assistant Commissioner of Police (ACP) Theos Badege anashukuru raia kwa msaada wao kwa kupiganisha makosa eti “ni raisi kutimiza sheria na kufanya yanayo stahili katika mwangaza, wakaaji wanywe pombe halali kwa sababu pombe ya njia haramu huharibu afya na nchi huwapoteza”.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.