kwamamaza 7

Gasabo: Jambazi anashutumiwa kuiba mbuzi baada ya kupiga mahtuti mchungaji

0

Bwana Habarurema Vincent amekamatwa na Polisi mjini Kigali, kwa kujaribu kumuua mtoto mchungambuzi ili aibe mbuzi hizo. Jambo hili hutokea katika ya Ndera, kijiji Kibenga, na muhusika yupo mbaroni Nduba.

Habari kutoka mjini Kigali, ni kwamba siku ya juma pili, tarehe 15 Januari,  huyu Habarurema alikuta mtoto wa umri wa myaka 11 aliyekuwa anachumga mbuzi 15, halafu akampiga na kuvunja shingo. Kuwazia amefariki, jambazi Habumuremyi kaongoza mbuzi zote.

Msemaji wa Polisi mjini Kigali, SP Emmanuel Hitayezu anatangaza kwamba majirani wa mtoto walijulikanisha kitendo hiki, na mtoto kupelekwa hospitali ya Kigali. Baadaye, ndipo polisi kuungana na zingine ngazi za Uongozi, walimshika matekwa  siku ifuwatayo jambazi huyu, katika zinga la Gasange, tarafani Nduba.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Polisi hushukuru wananchi kwa ushilikiano na kupana habari. Isipokuwa  ushilikiano huu, jambazi hangalipatikana. Habarurema alikamatwa na mbuzi tisa, na faranga za Rwanda elfu themanini (80.000), na hivyo vyote vikapelekewa wazazi wa mtoto.

Habarurema atashtakiwa wizi na kuumiza, itayohukumiwa kutokana na makala ya 302 ya kanuni za adhabu mwa jamhuri ya Rwanda. Atapata kifungo gera cha miaka kati ya 3 na 5, na ikiwa mtoto hupoteza uwezo wa kufanya kazi na ulemavu, adhabu itafika kwenye miaka kumi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

JB Karegeya@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.