kwamamaza 7

Gari yenye ukoo wa Rwanda imekuwa chanzo cha ajali Uganda na 7 wakafariki

0

Gari yenye kuwa na vitambulisho vya Rwanda na nambari yake ikiwa RAC 374 T husema kuwa chanzo cha ajali iliyo sababisha vifo vya watu 7 sehemu ya Masaka huko Uganda.

Ajali hiyo kafanyika leo juma moshi tarehe 6 Mei 2017 asubui sehemu ijulikana kwa jina la Mpugwe barabara ya kuelekeza Kampala-Masaka kama vile husema gazeti la Daily Monitor.

Msemaji wa polisi sehemu ya Masaka, Lameck Kigozi  amesema chanzo cha ajali ni hiyo gari ya lori iliyo kuwa ikitembelea upande tofauti na shurti za barabara Uganda.

Huendelea na kusema kuwa yawezekana kiongozi wa gari alisahau kama yupo Uganda na kutembelea upande tofauti kulingana na shurti za Uganda, hadi sasa husema walio fariki kuwa ni saba.

Walio tambulikana kuwa walifariki katika ajali hiyo ni Julius Okabway mwenye umri wa miaka 35 pamoja na Julius Odeke pakiwemo na wengine na wawili walijeruhiwa na kupelekwa kwenye hospitali ya Masaka.

Taarifa husema kuwa viongozi wa gari hilo ambalo husema ni chanza cha ajali walitoroka hakuna anaye jua mahali walipo.

Mwaka jana watu zaidi ya 300 walifariki kupitia ajali za gari katika barabara Kampala-Masaka na polisi husema kuwa ajali hizo zilitokana na hali ya anga au hewa mbaya pia kuzubaa kwa wendesha magari.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.