Gari linalotengeneza barabara limeua watu wawili akiwemo mtoto wa miaka miwili Wilayani Kicukiro, Mjini Kigali.

Ajali hii la gari ya Kampuni ya Wachina ilitokea jana usiku ambako lilikuwa limebebwa kuhamia mahaki pengine.

Ghafla, gari hili limeporomoka na kuingia nyumbani kwa Gerard  Kaberuka na kumuua mtua aliyekuwa karibu na mtoto wake wa miaka miwili.

Ndugu za malehemu wamelazwa hospitalini kwa kujeruhiwa mno.

Imeripotiwa kwamba ilikuwa vigumu kuondoa hili gari nyumbani ilikoingia na kubomoa kutokana na uzito wake.

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.