kwamamaza 7

Gari la aina ya DAIHATSU lafanya ajali sehemu ya Ndera-PICHA

0

Asubuhi ya leo tarehe 8 Novemba 2016 asubuhi gari la aina ya DAIHATSU lenye nambari RAB 628 H limefanya ajali wakati lilipoteza mwelekeo na kuanguka kando ya barabara katika sehemu ya Ndera, Wilayani Gasabo.

[ad id=”72″]

Hakuna vifo ama majeruhi vilipatikana Katika ajali hio, isipokuwa pombe zilikuwa ndani ya gari hilo zimemwangika.

daiha daiha1

[ad id=”72″]

daiha2

daiha3

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.