kwamamaza 7

Gako: Maofisa wapya 478 wa Rwanda wamepewa daraja na rais Kagame

0

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, akiwa Jemadari mkuu wa jeshi la Rwanda, jana tarehe 23 Februari, alishiriki sherehe la kuvika daraja askari jeshi walio maliza mafunzo kwa ngazi ya ofisa.

Askari hao walimakiza mafunzo ya ngazi ya chini ya Luyeni (Second Lieutenant) wakiwa 478, wa kike wakiwa 68, walifuata mafunzo wakiwa Gako, mashariki mwa nchi.

Baada ya rais kufika, kundi lenye kuhusika na muziki walianza na guaride wakiwa mbele ya Jemadari mkuu wa Jeshi na viongozi wengine.

Katika ujumbe wake kwa ajili ya wale wana jeshi wapya, rais Kagame aliwaambia ya kuwa mafundisho ambao wamemaliza ni kuelekea muda ulimwengu unafikia kwa kusonga mbele kimaendeleo pakiwemo kijeshi, eti “RDF hailinde nchi peke ila inasaidia katika maendeleo ya raia”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Aliendelea na kusema ya kuwa nguvu za kujenga nchi ambazo Rwanda iko nazo pia ni RDF kwa kupambana na tatizo tofauti.

Kwa kumaliza rais Kaagame alitakia hao askari afya njema, huduma njema ya mawasiliano, akiwaambia ya kuwa yale ambao Wanyarwanaada wanakutana nayo inawatia nguvu za kujenga nchi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.