Nyumba ya familia ya Kamukama ambayo Byaruhanga anadai kuwajengea

Daktari kwenye hospitali ya Gahini,Byaruhanga alipelekwa kwenye hospitali ya kisaikolojia,Ndera baada ya kuugua kiwewe kwa ajili ya msichana anayesema kwamba alikuwa mpenzi wake kumuaga.

Nyumba ya familia ya Kamukama ambayo Byaruhanga anadai kujenga

Msichana huyu kwa jina la Kevine Komukama amekanusha madai haya kwa kueleza kuwa hakuwahi kuwa mpenzi wa Byaruhanga kwa kuwa alipomtongoza mala mbili hakukubali na kumuambia kwamba yeye hana mpango wa kupata jiko karibuni.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Majirani wameleza kwamba hawajui madai ya Byaruhanga ya kuwa ndiye aliyejenga nyumba ya familia ya Kamukama kwa kuwa walioijenga ni nduguze wakiwemo mwanajeshi,polisi na kuongeza kuwa waliwahi kusikia habari za kuwa Byaruhanga alimpa Kamukama frw1,300,000

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi wa tarafa ya Gahini,Joseph Rukeribuga amesema kwamba habari wanzo ni kuwa wawili waiwahi kuwa marafiki na kuwa yeye hana uwezo wa kuamuru watu kufunga ndoa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.