kwamamaza 7

Fundi mitambo Adams ausifu uhenga wa muimbaji Bruce Melody

0

Fundi mitambo Adams ametangaza kwamba Muimbaji Itahiwacu Bruce maarufu kama Bruce Melody ni baadhi ya wasaani wenye uhenga na kipaji cha muziki nchini Rwanda.

Dj Adams ameelezea moja mwa radiyo nchini Rwanda kwamba uhenga wa Bruce Melody unathibitishwa na aliyofanya alipoalikwa kwenye Coke Studio nchini Kenya.

“Hakuna mtu yeyote anayeweza kukanyaga kwenye Coke Studio ambaye si mhenga.Hata kama hajulikani huko,ni mhenga kabsa”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Si yeye tu ambaye hajulikani nchini Kenya,hakuna mtu mwingine isipokuwa Chorale Ambassador”ameongeza

Dj Adams ni mmoja mwa fundi mitambo hodari nchini Rwanda pia alikuwa mtangazaji wa rediyo siku zilizopita.

Isisahaulike kwamba Bruce Melody ndiye msaani pekee kutoka Rwanda aliyewahi kualikwa na Coke Studio.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.