kwamamaza 7

FIFA imeazibu Mali, Rayon Sports ya Rwanda yasonga mbele bila kucheza

0

Uongozi wa soka ulimwenguni, FIFA wameazibu Mali baada ya wizara ya michezo nchini humo kuripua michezo ya soka (Femafoot), na hapo Rayon Sports ya Rwanda iliyotarajiwa kupokea Onze Createurs kapewa bahati ya kuendelea.

FIFA kasema ya kwamba mambo yote yenye kuhusiana na soka Mali yamesimamishwa hadi siku wizara ya michezo kubadilisha maamzi yake.

Tayari FEMAFOOT wamepewa barua kusema ya kuwa nchi ya Mali imefungiwa mambo yote yenye kuhusiana na soka, hapo timu zote za Mali zimesimamishwa katika mashindano ya kimataifa.

Moja yao ni Onze Createurs ambao walikuwa tayari wamewasili Rwanda kwa ajili ya mchezo wa kulipa, mwanzo Rayon Sports ilifungwa bao moja kwa bila huko Bamako.

Gakwaya Olivier katibu wa Rayon Sports, alisema ya kuwa wanasubiri ujumbe kutoka FIFA kwa kuwaarifu kama vile kawaida kama walikuwa wakijitayarisha kucheza na timu hio.

fifa-2-1ebac

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.