kwamamaza 7

FDLR yatibithisha inapambaana vita takatifu, wakati ambapo shirika la kimataifa laishtumu uhalifu mkali

0

Wanamgambo wa FDLR wanaendelea kusisitiza kwamba wanapambana vita takatifu na walijipeya jina la waokozi, wakati ambapo shirika la kimataifaiki liikiwashtiakia makosa akiwemo mauaji, ubakaji wa wasichana na wanawake

Mtalaam wa Umoja wa Kimataifa, Yakin Erturk, katiaka 2007 alichapisha maandiko kuhuisu FDLR, akisema kwamba tangu mwaka wa 2000 waliwaua watuwasiomthilika nchini Kongo, kuwafanya wanawake watumwa wa ngono, uporaji,…

Ameendelea kusema kuwa licha ya tuhuma hizo zote FDLR wanajiita wapiganaji wa vita takatifu( la guerre Sainte)

Mashtaka dhidi ya FDLR ndani ya Kongo yamegusiwa pia katika kitabu “ Tatort Kongo-Prozess” katika lugha ya kijermani, maana “Scène de crime au Congo” katika kifaransa yenye tafsiri “mahali penye kutokea kosa”.

Waandishi wakitabu hiki ni Dominic Johnson, Simone Schlindwein na Bianca Schmolze na kusahihishwa na Ch inks Verlag Berlin, katika mwaka wa 2016, nacho kuhusu wanamgambo wa FDLR

Katika uandishi wa kitabu hiki mjowapo wa habari zilizotumiwa zilitoka kwenye korti ya Stuttgart, ambayo iliendesha kesi ya Ignace Murwanashyaka, aliekuwa kiongozi wa FDLR pamoja na Musoni makamu wake.

Gazeti la Libre Afrique, ambalo lilichapisha habari hii, linatangaza hata kwamba wanamgambo wa FDLR, kwamba wanashirikiana na jeshi la Kongo.

Nk’uko byatangajwe na Murwanashyaka, ubwo izi nyeshyamba za FDLR zibyutse, imbere y’abayobozi bazo zisenga zigira ziti “Imana irinde abarwanyi inabereke inzira nziza mu kubarinda”. Kama analivyoarifu Murwanashyaka waasi hawa wanapoamka husimama mbele ya viongozi wao na huambudu mungu wakisema “ mungu awalinde waasi na awaongoze na awaonyeshe njia nzuri”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Bikira Maria aliwaonekea wa FDLR

Kama viongozi wa FDLR wanavyoarifu, Bikira Maria alijitokeza mbele ya macho ya wakimbizi wa kihutu katika kambi nchi Kongo, na hata miongoni mwa wanamgambo wa ALIR(Arméede libération du Rwanda).

Mambo haya ya kuonekana kwa bikra Maria yalitangazwa na Gen Byiringiro Kiongozi wa sasa wa FDLR katika kitabu alichoita Kitakatifu ambamo anaweka kando mojawapo wa mistari ya kitabu hicho ili wanaohubiri katika kambi waweze kuitumia

Wakimbizi na wanamgambo hao wanafundishwa siasa kwa kupitia neno la mungu akisema kwamba bikira Maria anawaongoza na anawaunga mkono”

Wanapohubiri wanatumia maneno ambayo kawaida hutumiwa katika makanisa ya Rwanda, wanasema Halleluya! Na wakaitika “Amen!” mungu asifiwe kuna agano kwamba nchi iko mikononi mwetu!”

Katika barua aliyomwandikia Murwanashyaka mwaka 2009 kiongozi wa upelelezi katika FDLR alisema “ Tuna imani kwamba mungu ana mpango juu yetu, Bikira Maria anatuombea siku hadi siku”

Wakati ambapo USA ilipoishtumu FDLR kuvunja haki za kibinadamu na kuiorodhesha kwenye makundi ya kigaidi, viongozi waliwapa moyo raia wakisema, “ Poleni Yesu anawazidi nguvu USA”.

Huu mfumo wa FDLR wa kutumia wahubiri kutoka sehemu mbalimbali ulithibitishwa na hata Lt. David Habyarimana alieachana FDLR na kurudi Rwanda mwezi Aprili mwaka huu, katika mahojiano na vyombo vya habari vya hapa Rwanda alisema kwamba ilikuwa miaka 19 tangu ajiunge na FDLR.

Alisema “wahubiri wanakuja wakasema kwamba FDLR iko karibu kuishika Rwanda, alisema pia kwamba FDLR walipoteza nguvu na hawana hata uwezo wa kushijika hata kijiji kimoja cha Rwanda”

Miaka 23 imekwisha pita wanamgambo wa FDLR wakishinda kwenye ardhi ya Kongo, mojawapo wa wanamgambo wakituhumiwa kushiriki katika Mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi ya 1994”.

Umoja wa Kimataifa unawatuhumu wa FDLR uhalifu mkali ukiwemo: mauaji ,ubakaji wa wasichana na wanawake,… na wandishi wakijiwaza jinsi walivyojita “waokozi” wanaopigania vita takatifu kwa juu ya hili.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.