kwamamaza 7

FDLR wanatabiriwa kurejea na kutawala Rwanda kwa haraka sana

0

Miaka 23 wapiganaji wa FDLR wakiwa misituni Congo hata na wakimbizi wengine Wanyarwanda, mmoja kati yao aliyebahatika kurejea Rwanda alisema kwamba kuna wanabii wanao kuja kuwatabiria kwamba wapo karibu kurejea Rwanda, ila wanasuburi na wanakosa matukio ya unabii.

Lt. David Habyarimana, munyarwanda mwenye ukoo wa wilaya ya Nyabihu, jimbo la Mangharibi, amedumu miaka 19 misituni Congo ila kwa mwisho akaja Rwanda tarehe 25 April2017 kupitia mpaka wa Rwanda na Congo katika wilaya ya Rubavu, ni yeye aliye hakikisha taarifa hio ya unabii kama vile husema gazeti la Rwanda Eye.

Aliendelea eti “tukitazama nguvu wanazo za kushambulia Rwanda, hawawezi hata kamwe kukamata kujiji kimoja”.

Husema kwamba waombezi ambao wanakuja kuwatabiria hutoka katika wakimbizi wanao ishi Congo, mara nyingine wanatoka katika wakimbizi wanaoishi Zambia wakialikwa na viongozi wa FDLR.

Anasema kwamba wanabii hao mi wenyeji wa kanisa la kipantekote, akitoa mfano kwa nabii wa Rwanda aliye toka Malawi na kuwafikia kutabiria Brig. Gen. Pacifique Ntawunguka, kiongozi wa FDLR, akamuhakikishia kwamba wanakwenda kurudi Rwanda, ila matumaiani wakakosa hadi sasa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Lt. David Habyarimana alihusika na kulinda Col. Bernard Rishirabake anaye julikana kwa jina la Shima Serge, kiongozi wa wapiganaji wa FDLR/Foca sehemu ya Rwindi, wilaya ya Rutchuru, jimbo la Kivu ya Kaskazini.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.