kwamamaza 7

FARDC imerudisha nyuma shambulio ijapokua 2 walifariki

0

[ad id=”72″]

Jeshi la Congo, FARDC, juma tano tarehe 30 Novemba wamerudisha nyuma shambulio la wapiganaji waliotokea katika mlima wa Carmel (Mont Carmel) karibu kilometa 3 kutoka mjini Butembo baada ya mapigano ya dakika ishirini.

Kama vile hutangazwa na kamanda wa Sokola I, Gen. Fall Sikabwe, eti “karibu saa kumi na moja na nusu ndipo wapiganaji wa Mai-Mai walishambulia kambi la jeshi kwa mlima huo”na taarifa husema kwamba wapiganaji wawili walifariki mwengi mmoja akatekwa nyala.

Baada ya mapigano, Gen. Sikabwe anahakikisha kwamba wanajeshi wameanza msako ili kuongoa majambazi wote ambao watumikisha silaha sehemu hio.

Mapigano hayo yamefuatana na mengine ambayo jeshi la taifa lilikimbiza tena wapiganaji mwezi moja nenda sehemu iitwayo Corps du Christ kwenye huo mlima Carmel.

Radio Okapi kwa kumaliza inasema kwamba wapiganaji hao wengi wamekimbilia sehemu ya Isale mangaribi ya Beni.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.