kwamamaza 7

Familia ya rais Kagame yawatakia sherehe nzuri za kufunga mwaka

0

Mwishoni mwa kila mwaka, dunia nzima hushirikia katika sherehe za kufunga mwaka mithili ya Krismasi na sikukuu ya kuanzia mwaka mpya.

Rais Kagame na mke wake Jeannette Kagame pamoja na familia nzima wamewatakia sherehe zenye amani na furaha kama aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter.

“Jeannette, familia na mimi tunawatakia nyinyi nyote msimu wa sikukuu wenye furaha na amani…pamoja na wapendwa wenu!!”

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Krismasi ya 2016, imekuwa ya mwisho kabla ya rais kagame kumaliza kipindi cha pili cha kuongoza nchi ya Rwanda kama uchaguzi ufuatao unategemewa ugenini na nchini Rwanda kwa tarehe 3 na 4 mwezi Agosti 2017.

Kagame anatarajiwa kutoa hotuba ya kufungua mwaka wa 2017 kama kawaida. Hotuba ya kuanzia mwaka wa 2106, ndipo alithibitisha jitihada zake za kugombania urais kama kwa kupitisha maombi ya raia.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.