kwamamaza 7

Evode Imena amesema hayupo tayari kwa kurudiliya masambo

0

Evode Imena aliye kuwa katibu wa serikali na akihusika na uchimbaji wa madina leo asubui alionekana mbele ya mahakama kwa kurudiliya masambo kwa ombi la wendesha mashtaka kwa kuwa alikuwa aliachiliwa na kuweza kufuatiliwa ikiwa nje, alisema ya kuwa hayupo tayarri kwa kuwa aliko lilimufikia likichelewa.

Evode Imena alisema ya kuwa hayupo tayari kwa sababu ijuma ndipo alipata aliko na hakupata muda wa kutosha kwa kujitayarisha.

Anahakikisha ya kuwa kuna maamzi ya mashtaka ambayo hawajaona kwa hayo hawapo tayari kwa masambo kwani hawajui ni nini imo ndani ya mashtaka. Evode Imena aliomba kupewa siku mbili ajitayarishe pamoja na wanasheria wasaidizi wake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wasaidizi wa Evode Imena (Kayumba Francois na Joseph Kagabo) wao waliambia mahakama ya kuwa walikuwa tayari.

Kayumba pamoja na Kagabo walihukumiwa kwa muda kufungwa siku 30 na walikuwa wamekuja kwa kurudiliya maamzi hayo.

Mahakama yaliamua kwa ajili ya mashtaka ya Evode Imena, wendesha mashtaka  waliomba naye kufungwa, masambo yatakuwa tarehe 10 Mach 2017 saa mbili za asubui.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.