kwamamaza 7

Elimu ndio urithi murua kwa watoto wetu-Jeannette Kagame

0

Jeannette Kagame leo kwenye sherehe ya kuwatumbwiza wanafunzi 117 wa Shule la sekondari  Maranyundo Girls School mjini Nyamata kwa kumaliza masomo yao amewakumbusha wazazi  kuwa urithi kamili  wa kupatia watoto ni elimu.

wanafunzi waliomaliza masomo yao

Wazazi,elimu ni urithi muhimu kwa watoto wetu”ameleza Jeannette Kagame

Pia Jeannette Kagame amewataka wanafunzi hawa kutia maanani waliyoyasoma shuleni na kusisitiza umoja waliofundishwa na walimu wao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Jeannette Kagame amewakumbusha waliohudhuria sherehe hii kuwa elimu ina nguvu za kubadilisha mambo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baadhi ya wanafunzi hawa 60 wamemaliza shule la sekondari, 57 wamemaliza miaka mitatu ya sekondali.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.