kwamamaza 7

DRC: Watu 20 wamekosekana baada ya ajali ya mashua katika ziwa Kivu

0

Baada ya ajali ya mashua katika ziwa Kivu, iliyofanyika tarehe 12 Februari watu wapatao 20 wamekosekana hadi sasa.

Norbert Rugusha, kamishina anaye husika na mambo ya leki ndie ametoa hesabu ya watu hao, alisema ya kuwa mashua hio ilitoka sehemu iitwao Bulenga katika wilaya ya Kalehe, na ilikuwa ikiwachukuwa watu 45 wakilekeza Bukavu, kiongozi huu amesema ya kuwa wengine 22 wameokolewa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mashua hio ilipatapwa na ajali ilipo fika kwenye kisiwa cha Ntaligeza katika ziwa Kivu karibu na kisiwa cha Idjwi, na husema ya kuwa ajali ilitokana na upepo mwingi kama vile husema redio Okapi.

Kamishina huu anaeyehusika na maziwa alisema mengi kwa ajili ya ajali hio, na kusema yote ambayo yalikuwa ndani ya mashua na watu atatangaza baadaye.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.