Zaidi ya mwaka mmoja, wenye kuhusika na haki ya binadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, waliomba wapiganaji wanao pinga serikali ya Congo kuachilia watoto wenye kuwa katika makundi hayo, kwa sasa wameachilia watoto karibu 40, ikimaanisha ya kwamba pakiwa maongezi na wengine waweza achiliwa.

Tony Kihumbe, kiongozi wa makundi yajitawalao, anasema ya kuwa watoto hao waliachiliwa na makundi tofauti ya wapiganaji katika Kivu ya Kaskazini kupitia maongezi kulingana na mkataba wa uhusiano na Geneva, na maongezi yamedumu zaidi ya mwaka na walikataa kuwaachilia watoto.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hata kama watoto wameachiliwa, katika Kivu ya Kaskazini kuna makundi ya wapiganaji zaidi ya 10, na siku kwa siku wanawaweka watoto katika makundi yao kwa mkazo.

Tony Kihumbeya aliendelea na kusema ya kuwa hesabu ya watoto wenye kuwa katika makundi ya wapiganaji hawajulikane kwa sababu kuna watoto wengi sana ambao walikosekana na hata waendelea kukosekana wakitiwa kati makundi ya wapiganaji.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina