kwamamaza 7

DRC: waasi wawasaidia wafungwa wengine kutoroka

0

Wafungwa 17 watoroka gereza usiku wa jumamosi hii kwenye jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo

Redio Okapi ambayo ilitangaza habari hii imesema kwamba usiku wa Ijuma kuelekea Jumamosi watu wenye silaha wamekishambulia kituo cha polisi na cha uendeshaji mashtaka na kufanya usalama kuwa mbaya hadi wafungwa 17 wakatoroka gereza jijini Kinshasa.

Wengi wa waliotoroka ni wale waliokuwa baado wakishikiliwa na polisi ya nchi ya Kongo, na wamezimia wakati polisi ilipokuwa ikijaribu kuwatanya washambulizi ambao hadi sasa hawajajulikana.

[xyz-ihs snippet=”google”]

La hasha, tovuti Politico ya nchi ya Kongo, imesema walioshambulia ni waasi wa kundi la Bunda ambalo ni kundi la kikristu lenye itikadi ya kisiasa.

Serikali ya Kongo inasema zaidi kuwa waasi hawa ndio walishambulia Magereza ya Kongo mwezi uliopita na kuwafanya wafungwa wapatao 5000 kutoroka.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.