Swahili
Home » DRC: Mmoja kapoteza maisha kati ya mapambano ya FDLR na Mai-Mai
HABARI

DRC: Mmoja kapoteza maisha kati ya mapambano ya FDLR na Mai-Mai

Des rebelles des FDLR dans la forêt de Pingu, dans l'est de la République Démocratique du Congo, le 6 février 2009

Wilaya ya Butemo, kivu ya Kasikazini, mapambano kati ya wapiganaji wa FDLR na Mai-Mai yalifanya mpiganaji mmoja wa FDLR kupoteza maisha.

Mapigano hayo yalifanyika alhamisi nenda, na mwengine mpiganaji mmoja kajeruhiwa kama vile husema kiongozi wa kata ya Bapere, M. Kambakamba.

Kiongozi huyu eti: “kulikuwa mapiganao kati ya FDLR na Mai-Mai. Mmoja wa FDLR alifariki na Mai-Mai mmoja akajeruhiwa. Mapigano yalipitika karibu saa moja, na wakaaji wakakimbiya, Mai-Mai waliingia msituni na FDLR wakakimbia na kuondoka”, kama vile husema radio okapi.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Sababu ya mapigano hayo ni kwa kuwa vikosi vyote viwili walitamani kuchukua vifaa vya uchaguzi ambavyo hutumia  kwa kuajili watu wa sehemu ya Mambu, na sehemu hio hakukuwa hata jeshi ao polisi wa serikali ya Congo.

Kufuatana na mapigano hayo, kazi ya kuajili watu watakao chagua kusimamishwa sehemu hio, na wahusika na kuandika (CENI) wamesema kuwa wanafahamu tatizo hili na wapo wanatafuta suluhisho.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com