kwamamaza 7

DRC: Askari jeshi wa MONUSCO ameuawa kwenye mapambano huko Butembo

0

Juma tatu tarehe 19 Disemba asubui wanamgambo 5, askari jeshi wa MONUSCO 1 mwenye ukoo wa Afrika kusini na jeshi 1 wa DRC wamepoteza maisha kwenye mapambano makali na watu wenye silaha huko Butembo mashariki mwa Congo.

Taarifa kutoka Congo husema kwamba shambulio hilo lilifanywa kwenye kikao cha gereza mjini Butembo na hesabu ya waliofariki yahakikishwa na kiongozi wa MONUSCO, kiongozi wa wilaya hio hata polisi.

butembo

Shambulio hilo limekuja wakati husemwa kmamba utawala wa rais Kabila hufikia mwisho, kwani alianza kutawala munamo mwako wa 2001, na wapinzani husema sherti aache madaraka ili mwengine njoo aongoze hadi wakati uchaguzi utakapo kuwa mwaka wa 2018.

[ad id=”72″]

Shambulio hilo hufikiria kwamba ni wapiganaji wa MAI-MAI ambao wamehusika kwenye kikao cha gereza Butembo hata mahali pengine tofauti katika mji wa Butembo kama vile Col Felix Basse kiongozo wa MONUSCO ametangazia AFP.

Jeshi la MONUSCO pamoja na FARDC wamerudisha nyuma hilo shambulio na kuwaua wapiganaji 5 ila jeshi 1 wa Congo na jeshi wa MONUSCO nao wakafariki na watu husema kwamba wapiganaji hao wana lengo la kuondoa rais Kabila madarakani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.