kwamamaza 7

DRC :18 wameuawa kati ya mapigano ya Wambilikimo na Waluba

0

Watu 18 waliuawa katika shambulio lililofanywa na Waluba sehemu ya Mutiba inayo ishi Wambilikimo jana tarehe 24 Mach 2017 karibu kilometa 148 kutoka kikao kikuu cha wilaya ya Manono jimbo la Tanganyika katika jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Taarifa kutoka uongozi wa sehemu hio husema ya kuwa 11 waliouawa ni kabila la Waluba na 7 wakiwa wa kabila la Wambilikimo, na chanzo cha mabishano ni asilia ya kikabila.

Kiongozi wa wilaya ya Manono amelaumu shambulio hilo, haraka sana alitoa mpango wa uhamasisaji na kuomba raia kuishi katika amani sehemu hio kama vile husema radio Okapi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Shambulio hilo ni baada ya mwezi mmoja pakiundwa uongozi wa kusanyiko wenye lengo la kuzingatia amani katika makabila ya jimbo la Tanganyika.

Kiongozi ya uongozi wa uraia katika wilaya ya Manono anaomba kila kabila kutimiza na kutembelea shurti za umoja ili kujenga amani kati yao.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.