kwamamaza 7

Dr Richard Sezibera akubaliwa mgombea kwa nafasi ya mrithi wa leti Mucyo

0

Tarehe 1 Disemba ndipo kutakua uchaguzi wa kutafuta atakaye chukuwa nafasi ya marehemu seneti Jean de Dieu Mucyo aliyefariki tarehe 3 Oktoba mwaka huu wa 2016.

Jean de Dieu Mucyo alikuwa mwenyeji wa jimbo la kusini ya nchi Rwanda na watakao piganiya fasi hiyo ni “Dkt Masabo François, Mukakabera Monique, Mukamuganga Veneranda,  Muhimakazi Félicité na Dkt Sezibera Richard aliyekua katibu mkuu wa jumuiya ya Afrika mashariki.

[ad id=”72″]

Jana tarehe 18 Novemba ndipo orodha ya wagombea kwa kuchukuwa nafasi ya Jean de Dieu Mucyo ilikubaliwa, na uchaguzi utafanyikia katika jimbo la kusini.

Richard Sezibera si mpya katika siasa, aliwahi kuwa mbunge. Alikuwa tena balozi wa Rwanda nchini Mexique, Argentine  Brasil na Marekani na kazi nyingine za kisiasa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.